GET /api/v0.1/hansard/entries/1259555/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1259555,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259555/?format=api",
    "text_counter": 457,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Jambo lingine ni ugonjwa ambapo mkulima fulani akivamiwa na ugonjwa fulani, kutakua na mbinu ya mawasiliano ili kuokoa zao la mkulima. Tukijua wakulima wamepewa pembejeo na mbolea kiasi fulani, basi katika wakati wa mavuno tutatarajia mavuno kiasi fulani."
}