GET /api/v0.1/hansard/entries/1259557/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1259557,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259557/?format=api",
    "text_counter": 459,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ukiwa na data ama takwimu, wakati wa kutayarisha soko, takwimu zitakuelekeza kwa soko la COMESA ama kwingineko. Takwimu zitaonyesha kiasi cha zao ambalo linatarajiwa Taita Taveta au Makueni, kwa maana mvua ilinyesha vizuri na kadhalika. Kwa hivyo, katika kupanga, tunahitaji takwimu. Tutapata hizi takwimu kwa mawaziri wa kilimo katika serikali za kaunti wamehusishwa kikamilifu."
}