GET /api/v0.1/hansard/entries/1259559/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259559,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259559/?format=api",
"text_counter": 461,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Mhe. Spika wa Muda, kwa sababu naona muda umenipa kisogo, ningependa kusema kwamba tuangazie huu Mswada. Pia, tuangalie vile tutashirikiana na wenzetu wa Bunge la Kitaifa ili Mswada huu usije ukafa vile---"
}