GET /api/v0.1/hansard/entries/1259567/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1259567,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259567/?format=api",
    "text_counter": 469,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "pale zikililia usaidizi na kunasuliwa kutoka kwa mitego wamewekewa wakiritimba, wanaoitwa cartels, walioingilia ukulima wa ndengu. Nyumba nyingi sana katika Kenya hii zinakula ndengu. Ukiangalia magonjwa mengi tunao, utapiamlo unaotusumbua kwa watoto wachanga katika sehemu zile ni kame. Ni jambo rahisi kutatuliwa na kununua mimea kama ndengu na kupatia wale watoto. Mswada huu wa Sen. Wambua umekuja wakati mzuri sana. Tuko na Mswada ambao tunafaa kueneza huduma za ukulima na maafisa wa ukulima. Pia tutaangalia"
}