GET /api/v0.1/hansard/entries/1259569/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1259569,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259569/?format=api",
"text_counter": 471,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "and vitu zingine kama hizo. Leo, nimeona barua mahali ambayo inafaa kununua vitu kama hizi. Bw. Spika wa Muda, ningeomba wakati tunaangalia, tuweze pia kuweka ndengu, ziwe ni mimea ambayo inawezasaidika na Commodities Fund . Hii ni kwa sababu ilivyo kwa sasa, mimea iliyoko katika sheria ya Crop Act ndiyo inaweza kupewa fedha. Ukipika ndengu, kiasi ya 200 grams, hua unapata kiwango cha protini cha 14.2"
}