GET /api/v0.1/hansard/entries/1259571/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1259571,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259571/?format=api",
    "text_counter": 473,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "na fiber 15.4. Magonjwa mengi ya tumbo yanatokana na kukosa fiber katika mwili, sana soluble fiber . Ndengu iko na soluble fiber inaitwa pectin ambayo inazuia sana saratani ya utumbo. Kwa hivyo, ni chakula kizuri kwa miili yetu. Mama mja mzito akikula 202 grams ya ndengu, anapata asilimia 80 ya foliate. Kwa hivyo, wakati wanapojifungua, watoto wao wanakuwa wazima, werevu na wajanja kama, Sen. Murango, na mambo yanakua shwari. Kuna magnesium na vitu vingine vingi."
}