GET /api/v0.1/hansard/entries/1259575/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1259575,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259575/?format=api",
    "text_counter": 477,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Ni vizuri kuwe na usawa. Tuunge mkono Mswada huu ulioletwa na Sen. Wambua na tuupitishe. Pia tuingize katika uratibu na taratibu za Crops Act na Commodity Fund ili wananchi wanaolima ndengu peke yake, waweze kufaidika na hili zao. Tusisahau pia ule Mswada wa pamba ulioletwa na Sen. Beth Syengo. Bw. Spika wa Muda, Kamati yangu iliamua haitakaa chini iletewe makaratasi na memoranda zilizoandikwa. Tumezunguka mpaka siku ya Jumapili. Kuna jambo Sen. Wambua alileta ambalo tunafaa tuskize jinsi ambavyo tunafanya ushiriki wa umma. Ilibidi arudi mfukoni ili kuunga mkono ajenda iliyo muhimu sana katika Mswada huu wa ndengu. Kwa hivyo, ni kitu ako nacho moyoni."
}