GET /api/v0.1/hansard/entries/1260879/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1260879,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1260879/?format=api",
    "text_counter": 785,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kikuyu, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ichung’wah",
    "speaker": null,
    "content": " Ninasimama kwa Hoja ya Nidhamu kwa sababu Mhe. Mawathe ananena kwa lugha ya Kiswahili, nami nitatumia hiyo lugha. Ni vyema kuwajulisha Wakenya mambo tunayojadili na yaliyomo katika Mswada huu wa Fedha. Ninataka Mhe. Mawathe atuonyeshe ni wapi katika huu Mswada ambapo ushuru wa ndege za helikopta umetolewa. Hii ni kwa sababu nimekariri kuwa ushuru unaoshukishwa, hasa jambo tunaloongea saa hii, ni kitu kiitwacho miscellaneous levies kwa lugha ya Kimombo. Najua Mhe. Mawathe hajasoma Mswada huu. Kwa hivyo, haelewi ninazungumzia nini, na ndio maana anafanya siasa."
}