GET /api/v0.1/hansard/entries/1260881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1260881,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1260881/?format=api",
    "text_counter": 787,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Embakasi South, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Julius Mawathe",
    "speaker": null,
    "content": " Asante. Wacha nichangie nikizingatia hayo. Ni makosa kwa Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi kuashiria kuwa kuna mtu ambaye anasema mambo ya uongo. Hamna mambo ya uongo hapa. Tumepunguza bei ya vipuri vya helikopta ndio matajiri waweze kuzimudu, lakini tumeongeza ushuru wa petroli."
}