GET /api/v0.1/hansard/entries/1261054/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1261054,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1261054/?format=api",
"text_counter": 960,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Naweza kuunga hawa ndugu zangu Waheshimiwa waliosema tukipuzilie na tukitupilie mbali kipengo hicho cha kulipisha wafanyikazi pesa za ujenzi wa nyumba. Wafanyikazi wote wa kenya wamechukua madeni."
}