GET /api/v0.1/hansard/entries/1261057/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1261057,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1261057/?format=api",
"text_counter": 963,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "kujenga nyumba? Mimi ninataka niulize yule mwalimu ambaye yuko Mombasa, nyumba zajengwa Nairobi, atahama vipi Mombasa na nyumba zajengwa Nairobi? Tufungue akili zetu. Tusiwe tunasukumwa katika mteremko. Tuwe viongozi ambao wanawaza, sio wale wanaokubali kila kitu. Ushuru unatolewa huku na kuongezwa kule na sisi hapa tunagonga miguu tukisema “Aye.” Wakenya wamechoka. Huu ni wizi wa dhahiri. Hatutaki watu wajengewe nyumba, bali tunaka wapewe kazi."
}