GET /api/v0.1/hansard/entries/1262088/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1262088,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262088/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, nasimama kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu Nambari 53(1) kuomba kauli kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Usalama wa Taifa, Ulinzi na Uhusiano wa Kimataifa kuhusu polisi kutumia nguvu za kimabavu dhidi ya wanahabari wakati wa maandamano yaliyoandaliwa na Muungano wa Azimio tarehe 30 Machi, 2023. Katika taarifa hiyo, Kamati iangazie yafuatayo:"
}