GET /api/v0.1/hansard/entries/1262091/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1262091,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262091/?format=api",
"text_counter": 176,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "(b) Ieleze hatua zilizochukuliwa na Shirika la Independent Policing Oversight Authority (IPOA) dhidi ya maafisa wa polisi hao waliowakabili wanahabari kimabavu na kuwajeruhi baadhi ya wanahabari hao pamoja na kutaja hatua za kudumu za kuhakikisha hakutakuwa na marudio ya tukio kama hilo siku zijazo;"
}