GET /api/v0.1/hansard/entries/1262092/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262092,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262092/?format=api",
    "text_counter": 177,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "(c) ieleze hatua zitakazochukuliwa dhidi ya polisi Corporal Cyrus Korir Kemboi kutoka Kituo cha Polisi cha Pangani aliyerekodiwa akiwarushia wanahabari waliokuwa katika gari vilipuzi viwili vya kutoa machozi na kumjeruhi mwanahabari Eric Isinta usoni na kifuani; na"
}