GET /api/v0.1/hansard/entries/1262124/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1262124,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262124/?format=api",
"text_counter": 209,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Sen. Mundigi, je, una Kanuni za Kudumu za Seneti hapo ulipo? Tafadhali nukuu Kanuni ya Kudumu Nambari 98. Inasema kwamba unaposimama kwa hoja ya nidhamu,lazima unukuu Kanuni ya Kudumu ambayo unatumia kwa hoja ya nidhamu."
}