GET /api/v0.1/hansard/entries/1262125/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262125,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262125/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, natumia Kanuni ya Kudumu Nambari 105 kwa sababu Sen. Faki anapotosha Seneti. Tunajua kuwa miraa si dawa ya kulevya. Dawa zote za kulevya ambazo ametaja haziko katika sheria. Kwa hivyo, hafai kutaja miraa. Tunajua kuwa miraa hupandwa katika kaunti 37 za Kenya. Miraa ni cash crop ."
}