GET /api/v0.1/hansard/entries/1262129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1262129,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262129/?format=api",
"text_counter": 214,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, hoja yangu ni kwamba Sen. Faki anaharibu muda wa Seneti kwa kuongea mambo ya miraa na dawa za kulevya. Vile vile ametaja askari. Sisi tunajua kuwa huwezi kupigana na polisi wakati wanazuia mali ya watu isiharibiwe halafu uanze kutuambia kuwa mtu aligongwa."
}