GET /api/v0.1/hansard/entries/1262312/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262312,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262312/?format=api",
    "text_counter": 397,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bi. Spika wa Muda. Kwanza, ninampa kongole Mama yangu, Sen. Kavindu Muthama, kwa kuleta Hoja hii. Zaidi ya miaka 20 imepita tangu ajali hii itendeke. Imefika wakati sasa Amerika wawajibike na kuwafidia waliopata majeraha au kuathirika kwa njia yoyote katika huo mkasa. Kuna wale ambao mpaka sasa, wamebaki vilema. Kunao wasiosikia, wasioona na hata waliokatika mikono. Wengine walikufa katika ajali hii na makosa hayakuwa yao. Makosa hayakuwa ya Mkenya wala Serikali yetu. Hayo makosa yalikuwa ya ugaidi ambao ulikuwa unafanyiwa nchi ya Amerika na kwa bahati mbaya, yalitendeka katika nchi yetu. Ofisi ya ubalozi ilikuwa katikati mwa Jiji la Nairobi ambapo watu wengi walikuwa wanapita pale. Ni jambo la kusikitisha kwamba haukuhusika katika chuki baina ya Amerika na"
}