GET /api/v0.1/hansard/entries/1262314/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262314,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262314/?format=api",
    "text_counter": 399,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "ama Taliban, halafu unajipata katika panda mbili ambapo umetolewa macho. Niliona picha ambazo siwezi kuleta hapa. Hata hivyo, hii ni taarifa moja ambayo iliathiri Wakenya. Tuliona Wakenya walioathirika kwa mkasa huo wa bomu. Kilikuwa kitendo cha ugaidi na watu wa Kenya waliumia. Bi. Spika wa Muda, kupoteza hata Mkenya mmoja ni jambo la kusikitisha. Kenya inatakiwa kutetea na kuona kwamba hakuna Mkenya anapoteza maisha yake. Jukumu hili halikuwa la Serikali ya Kenya bali Serikali ya Amerika."
}