GET /api/v0.1/hansard/entries/1262383/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1262383,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262383/?format=api",
"text_counter": 60,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika, ni jambo la kusikitisha kuona ya kwamba ndugu yangu Sen. Cheruiyot hawezi kumwambia Seneta mwenzake hata pole ijapokuwa kuna Hoja hapa. Kama unavyoelewa, tulipokuwa katika mkutano wa leo wa Senate Business Committee (SBC), tulisema ya kwamba aruhusiwe aje vile amevaa kwa sababu ndio nafasi ya mguu wake ama pale alipofanyiwa operation iweze kuwa sawa sawa. Wewe mwenyewe ukapitisha ya kwamba---"
}