GET /api/v0.1/hansard/entries/1262387/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262387,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262387/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, kwa sababu umepitisha ya kwamba Sen. Oketch Gicheru anaweza kuingia ndani ya Bunge akiwa amevaa nguo ambazo zitaweza kumsaidia kutembea na kuwa sawa pale atakuwa ameketi; ndio sababu unaomuona ameketi leo pekee yake. Sen. Oketch Gicheru huwa haketi pale, yeye huketi hapa kati kati. Vile alivyosema ndugu yangu, namjulisha kwamba hilo ni jambo tulisema katika mkutano na tumekubaliana. Asante."
}