GET /api/v0.1/hansard/entries/1262661/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262661,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262661/?format=api",
    "text_counter": 338,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Nasimama bila aibu kupinga Ripoti iliyowasilishwa na Kamati inayopendekeza kutimuliwa kwa Naibu wa Gavana, Dkt. Oduol. Nimeskia Seneta wa Nairobi, Sen. Sifuna, akitaja majina ya watu ambao hawakuunga mkono Ripoti hii. Ningependa kuwaambia waliotajwa kuwa ukisikia shetani anapiga makofi wakati unaokoka, kuna shida kubwa hapo."
}