GET /api/v0.1/hansard/entries/1262670/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262670,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262670/?format=api",
    "text_counter": 347,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Bw. Spika, nilikuwa mwakilishi wa wadi na Kiongozi wa Wengi katika Kaunti ya Kirinyaga kutoka mwaka 2017 hadi 2022. Manaibu wa magavana wananyanyaswa sana na magavana. Hawawezi hata kusema chochote pahali popote. Ukiuliza Maseneta ikiwa wanajua manaibu wa magavana kama watano, hawawezi kuwataja. Mimi kama Seneta wa Kirinyaga, sitaki kuwa mmoja wa wale wanaotumika katika huu mradi wa Mrengo wa Azimio la Umoja wa kumwondoa mamlakani Naibu Gavana wa Siaya."
}