GET /api/v0.1/hansard/entries/1262682/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262682,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262682/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Spika. Kwanza, nawapa kongole wale ndugu zetu walioketi katika hii Kamati. Wamefanya kazi muhimu hadi mwisho. Umuhimu wa Kamati ya Bunge la Seneti ni kwamba unaweza kuongoza na kuchukua msimamo. Kawaida yetu Wabunge wa Seneti, huwa tunakubaliana na ripoti za Kamati zetu. Jambo nzuri ni kwamba, Ripoti inayo ongozwa na Sen. Kisang’, akifuatwa na Sen. Montet Betty kama naibu wake, ni Ripoti ambayo wameiandika kwa hali ya juu sana. Nawapa kongole pamoja na wenzao wote akina Sen. Omogeni, Sen. Onyonka, Sen."
}