GET /api/v0.1/hansard/entries/1262719/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1262719,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262719/?format=api",
"text_counter": 396,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika, tunaelewa kabisa ya kwamba ni haki ya Sen. Cherarkey kuongea vile anavyoongea. Lakini, Kanuni zetu za Kudumu katika Bunge hili zinasema ya kwamba, huwezi kuongea juu ya mtu ambaye hayuko hapa. Wewe umefanya uamuzi huo mara nyingi. Je, nauliza, ni sawa kwa ndugu yangu Sen. Cherarkey na anaelewa sheria na amekuwa kiongozi wa Kamati ya Sheria, kutaja jina la mtu ambaye hayuko hapa ndani ya Bunge kujitetea?"
}