GET /api/v0.1/hansard/entries/1262911/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262911,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262911/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Itakuwa vizuri iwapo tutazingatia mkulima huyu kutoka Kaunti ya Bomet. Ni lazima kuwe na mikakati mbalimbali. Magonjwa mengine huharibu mimea shambani na mfano ni huu ugonjwa ulio katika Kaunti ya Bomet. Taarifa ni kwamba unaweza sambaa kila mahali nchini. Itakuwa vyema kuichukulia hatua mwafaka Ardhilhali hii kwa sababu pia watu wa Kaunti ya Kilifi wanatatizwa na huu ugonjwa wa mahindi."
}