GET /api/v0.1/hansard/entries/1262912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1262912,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262912/?format=api",
    "text_counter": 61,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ugonjwa huu unafanya mavuno ya mahindi kupungua. Tunataka nchi hii iwe na chakula cha kutosha ili wananchi wafaidike na wapige njaa teke. Kwa upande mwingine, ikiwa huo ugonjwa utaharibu mahindi, basi watu watapata taabu na kutakuwa na njaa. Tunapaswa kukabiliana na huu ugonjwa ili wakulima wa mahindi wafaidike."
}