GET /api/v0.1/hansard/entries/1262923/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1262923,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262923/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Kwanza ninaunga mkono Ardhilhali iliyoletwa na watu wa Kaunti za Kajiado na Bomet. Ingawa tunajitahidi kufanya ukulima wa mahindi na mimea mingine, shida kubwa ambayo tuko nayo ni wadudu, viwavi na ndege wanaoharibu mimea. Ni vizuri tuwashike mkono wakulima haswa wa mahindi, kwa sababu hicho ndicho chakula ambacho kinaliwa sana nchini."
}