GET /api/v0.1/hansard/entries/1262925/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1262925,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262925/?format=api",
"text_counter": 74,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Bw. Spika, shida kama hizo ni nyingi kwa sababu, hata wakulima wa mchele huko upande za Mwea, Ahero na Bura pia wana shida kama hizo. Wakati wakulima wanapanda mpunga, mwezi wa saba, kuna ndege wanaoitwa Kwelea ambao wanakuja kushambulia yale mashamba. Ndege mmoja anakula kama gram tano. Kwa hivyo, katika mwezi wa saba, msimu wa mpunga unapofika wakulima wa Kenya wanapoteza tani tano ya mchele kila siku."
}