GET /api/v0.1/hansard/entries/1263842/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1263842,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1263842/?format=api",
    "text_counter": 603,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Naunga mkono Hoja hii ya leo. Bahari ndio imeleta uchumi mkubwa sana katika taifa hili. Bahari yetu imedhulumika kutokana na mambo mengi. Watu wamekuwa wakitupa taka baharini na chupa za plastiki zimejaa ndani ya bahari. Tulinde bahari kwa kutoa taka na Serikali iweke mikakati ya kulinda bahari na kuhakikisha samaki walio baharini hawadhuriki na uchafu unaotupwa ndani. Wavuvi wetu wamekuwa wakifa kutokana na umaskini. Hata hivyo, ukiangalia kule"
}