GET /api/v0.1/hansard/entries/1264404/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1264404,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1264404/?format=api",
    "text_counter": 48,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu West, JP",
    "speaker_title": "Ruweida Mohamed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi niwakaribishe wanafunzi wote walio hapa, hususan Nyali School ya Mombasa. Nyali School inasifika na inajulikana kwa utendakazi mzuri. Performance yao ni nzuri sana. Nina hakika wamekuja kutembea hapa Bunge wakati huu na wametembea sehemu zingine hapa Nairobi. Hii italeta matunda zaidi. Tutawaona wakishine . Karibuni sana Bungeni. Karibuni Nairobi. Mkienda huko mpeleke yale mumesoma. Nashukuru kwa kuwa pia mtoto wangu yuko hapo. Karibuni sana. Mwalimu, kila la heri kwa hii trip ."
}