GET /api/v0.1/hansard/entries/1264964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1264964,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1264964/?format=api",
"text_counter": 608,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "wanaoingia katika bandari zetu kuleta mizigo watakimbia na wataingia anga zingine kama Tanzania na mataifa mengine. Tunataka tuwavute upande wetu. Kwa hivyo, naunga mkono Mjadala huu, naupigia upatu na kwa vile ni mjadala wa nyumbani, nasikia raha sana kuujadilia katika Bunge hili. Kwa hivyo, namalizia hapa nikisema naunga Mjadala huu mkono. Ahsante sana Mheshimiwa Spika wa Muda."
}