GET /api/v0.1/hansard/entries/1265360/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1265360,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1265360/?format=api",
    "text_counter": 340,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "Nimesimama kuunga mkono Ripoti hili. Tusikubali hilo licha ya umaskini wetu. Mungu ndiye atakuwa ametupa sisi na ana njia ya kutuhifadhi. Tusikubali kuletewa uchafu kutoka mataifa ya ulaya ama ya kitajiri. Kwa hayo machache, nashukuru na kuipongeza Kamati iliyounda Ripoti hii."
}