GET /api/v0.1/hansard/entries/1265367/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1265367,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1265367/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kinango, PAA",
"speaker_title": "Hon. Gonzi Rai",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi ili nami nipate kuungana na wenzangu kuunga mkono Ripoti ambayo iko mbele ya Bunge hili. Ni kitu cha kuhuzunisha sana kwamba wenzetu, kimaendeleo mara nyingi wanachukua nafasi hii kutuumiza kwa sababu ya umaskini wetu. Kutokana na Ripoti hii na vile mambo yalivyochambuliwa na kupangwa, kuna umuhimu kwamba pia Bunge libuni sheria mwafaka ndiyo kutakapogunduliwa kwamba watu fulani humu nchini wametumiwa kutupa vifaa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}