GET /api/v0.1/hansard/entries/1265916/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1265916,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1265916/?format=api",
"text_counter": 214,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, ODM",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": null,
"content": " Bw. Spika, swali langu kwa Waziri ni hili: Ana mipango gani kwa watu wa Lamu Mashariki kwa upande wa unyunyiziaji? Tunasikia kuwa kila maeneo bunge yana mipango ya unyunyiziaji. Kama watu wa Kiunga, pia sisi tunaomba mipango ya unyunyiziaji. Tuna bwawa kule ambalo tunaweza kulitumia. Wananchi kule wanapanda tikiti maji. Pili, ningependa kujua pia mipango ya maji kutoka Tana Delta kwenda Lamu Mashariki imefikia wapi? Hii ni kwa sababu tumezungukwa na maji lakini maji ni ya chumvi na watu wa Lamu Mashariki hawana maji."
}