GET /api/v0.1/hansard/entries/1265951/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1265951,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1265951/?format=api",
"text_counter": 249,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Nina hakika hakuna irrigation scheme yoyote Lamu Mashariki. Maji ya Mzima Springs hayawezi kupita Lamu. Hata ikibidi waipitishe kwa lazima, itakuwa gharama kubwa zaidi kuliko kuchukuwa maji kutoka Tana River. Kuna ya kupitisha kwenye bahari. Maji ya Mzima hayawezi kutusaidia kabisa. Weka The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}