GET /api/v0.1/hansard/entries/1265980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1265980,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1265980/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mheshimiwa Spika, mimi ningependa kumuuliza Waziri atueleze Mradi wa Galana-Kulalu umefikia wapi kwa sababu tumeona wale ambao walitoa msaada kuusajili wakilalamika kuwa wamekua wakiekeza pesa zikipotea. Na kule watu wengi wanahangaika kwa kukosa chakula. Kwa hivyo, ningependa kuuliza mradi huu mpaka sasa umefikia wapi sasa Mheshimiwa Waziri. Ahsante"
}