GET /api/v0.1/hansard/entries/1266088/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1266088,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1266088/?format=api",
"text_counter": 386,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, ningependa kumwambia Waziri kuwa kule Dongo Kundu ambako wameanza Special Economic Zone (SEZ), kuna wakaazi ambao walikuwa hapo kwa miaka mingi sana. Walikuwa na mashamba ekari kumi, ishirini na kadhalika. Hata hivyo, wanalia kuwa wanapewa ploti za 50/100 na wengine wanapelekwa sehemu ambazo hawawezi kukaa vizuri kwa kuwa ni sehemu ambazo ni tata kwa swala la ardhi. Kwa hivyo, ningependa kujua umewapangia vipi wakaazi wa Dongo Kundu na watafidiwa vipi mashamba yao. Ahsante sana."
}