GET /api/v0.1/hansard/entries/1266257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1266257,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1266257/?format=api",
    "text_counter": 555,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante Mhe. Spika wa Muda. Swali langu kwa Waziri ni hili: Mkokoni, Lamu East, awamu ya pili ya upimaji mtamaliza lini? Kitu kinanishangaza ni kuwa Kenya nzima, ni Lamu peke yake kutoka wakati wa ukoloni ndiyo ni Government of Kenya land. Sehemu zingine zote utaona community land . Una mipango gani ya kusuluhisha hili? Kwa sababu hata kule kwingine labda ni ranches. Kule Lamu hakuna kitu kama community land . Kwa kipindi hiki cha Serikali ya Kenya Kwanza naomba hili lifanyike. Ulikuja Lamu tukakaa kwa kikao kizuri lakini hatujapata majibu. Tunaomba majibu kwa muda wa mapema. Asante."
}