GET /api/v0.1/hansard/entries/1266311/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1266311,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1266311/?format=api",
"text_counter": 609,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": " Nashukuru, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi kuuliza swali la ziada. Masuala ya ardhi katika Kisauni ni tatizo sugu. Je, Wizara ina mikakati gani kuyakomboa mashamba ili wananchi waishi kwa amani? Kuna tatizo katika shamba la Ugatuzi, shamba la Kashani na mashamba yaliyoko Junda. Je, mna mikakati gani ya kukomboa ardhi hizo?"
}