GET /api/v0.1/hansard/entries/1266319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1266319,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1266319/?format=api",
"text_counter": 617,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": " Mhe. Spika wa Muda, nilikuwa nikieleza swali langu lakini ikawa unazungumza na Mhe. Junet. Sijui kama Waziri alipata swali langu. Waziri, masuala ya ardhi ni sugu Kisauni. Je, Wizara ina mikakati gani ya kukomboa mashamba ili wananchi waishi kwa amani? Shamba la Ugatuzi, shamba la Kashani na mashamba yaliyoko Junda yako na tatizo."
}