GET /api/v0.1/hansard/entries/1266346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1266346,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1266346/?format=api",
    "text_counter": 644,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, Waziri hakujibu swali la mikakati walionayo kama Wizara ya kuyakomboa mashamba katika Eneo Bunge la Kisauni. Hakujibu swali hilo, ingawa halikuwa limeandikwa. Akiomba muda ni sawa. Bora nipate jawabu."
}