GET /api/v0.1/hansard/entries/1266910/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1266910,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1266910/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, nawakaribisha watoto kutoka Kaunti ya Meru. Seneta wenu hayuko karibu. Yeye ndiye Deputy Speaker . Mnafaa mjifunze yale tunayofanya hapa. Jueni kuwa ninyi ndio mtakuwa Maseneta au Directors wa kesho kwa sababu miaka yetu inasonga."
}