GET /api/v0.1/hansard/entries/1267078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267078,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267078/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, ninashukuru kwa kunipa fursa hii kuchangia kwenye Kauli iliyoletwa na Sen. Munyi Mundigi. Ni jambo la kuvunja moyo kuona mbolea inayopeanwa na Serikali inapelekwa mijini badala ya mashinani kwa wakulima. Ninaunga mkono mbolea ipelekwe mashinani kwa wakulima. Katika Kaunti ya Laikipia, mbolea inapelekwa Nanyuki na Nyahururu, ilhali wakulima wanaohitaji hiyo mbolea wako mashinani. Inafaa ipelekwe Rumuruti, Ol Moran, Sipili, Matanya na Weumeririe mahali penye wakulima wanaohitaji mbolea wako. Ninashukuru na ninaunga mkono taarifa ya Sen. Munyi Mundigi."
}