GET /api/v0.1/hansard/entries/1267257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267257,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267257/?format=api",
    "text_counter": 450,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Hawasemi chochote. Bei ya unga imekuwa juu, hakuna mtu anapinga. Ukienda Tanzania, Uganda na nchi za Ughaibuni, hali ya maisha imepanda. Sijaona waingereza ama ndugu zetu Watanzania wakibeba sufuria vichwana. Falsafa ya sufuria kichwani imetoka wapi?"
}