GET /api/v0.1/hansard/entries/1267258/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267258,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267258/?format=api",
"text_counter": 451,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, kwa mara ya kwanza katika Kenya hii, yale ambayo viongozi wanatamka mbele ya uma na kupiga vifua kwamba lazima nchi isimame, biashara zivunjwe, hiyo si demokrasia wala haki ya Wakenya."
}