GET /api/v0.1/hansard/entries/1267356/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267356,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267356/?format=api",
    "text_counter": 549,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Arifa ambayo ningependa kuongezea ni kwamba, kulikuwa na Waziri wa Ukulima Kenya hii na alipewa Kshs14 billion kuhakikisha mahindi na nafaka imepandwa katika Galana Kulalu. Lakini alipongatuka ofisini, hata magunia ishirini pekee yake hangeweza pata. Bilioni kumi na nne na sasa wameungana kubeba sufuria kwenye vichwa, ni kinaya na kejeli kwa democrasia ya nchi hii. Asante, Bi. Spika wa Muda."
}