GET /api/v0.1/hansard/entries/1267377/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267377,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267377/?format=api",
    "text_counter": 570,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Beth Syengo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Nasimama kuchangia mjadala ulioletwa na Senata wa Embu, Sen. Munyi Mundigi. Bi. Spika wa Muda, kikatiba ni halali kwa watu kuandamana na kuleta malalamishi yao kwa viongozi na kulalamikia mambo kama haiendi sawa kwa maisha yao. Ninasikitika kwamba maandamano imechukuliwa kuwa ya viongozi na kwamba"
}