GET /api/v0.1/hansard/entries/1267379/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1267379,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267379/?format=api",
"text_counter": 572,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Beth Syengo",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "imepangwa na Party Leader wangu, Sen. Sifuna na viongozi wa Azimio. Maandamano inayoendelea ni ya wananchi wenyewe ambao wanaumia na maisha jinsi ilivyo. Maisha imepanda na wananchi wameshindwa kupata chakula, kulipa karo ya watoto na kujimudu. Kwa hivyo, ni wananchi wenyewe ambao wanadai haki yao."
}