GET /api/v0.1/hansard/entries/1267394/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1267394,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267394/?format=api",
    "text_counter": 587,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Beth Syengo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bi. Spika wa Muda. Kwa kweli naweza elezea. Kwa sababu tukiwa hapa sisi wote ni shahidi. Sen. Cherarkey ameita Sen. Sifuna goon, hiyo ni kumaanisha nini? Kwa hivyo, hao ndio wanapanga na kuchochea wananchi."
}